Nadhiri za muda zilianza kutumika rasmi wakati wa Papa Pius IX (1846-78) na Papa Leo XIII (1878-1903).
Mt. Ignatius wa Loyola (1491-1556) ndiye aliye anzisha mfumo wa kuweka nadhiri na kusubiri kwa muda.