Kipindi cha unovisi cha Padre Victor Padre Paschal na Padre Paul wakiwa na Padre Brendan na Gerald huko Kent Uk.
Wanaotaka kujiunga na shirika letu wawe na wito wa kikarmeli. Wawe wametimiza umri unaotakiwa na kwa kadiri ya sheria za Kanisa. Wawe wamemaliza kidato cha sita na wawe wamefaulu masomo yao yatakayo wawezesha kusoma falsafa na teolojia katika chuo chochote cha kikatoliki.
Vijana wakiwa katika sala ndani ya kikanisa cha wakarmeli bunju
Vijana walio katika malezi wakiwa na mlezi wao
Wakati wa kuweka nadhiri