Wakarmeli wanajishughulisha na utume wa aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya eneo na wakati.
Mambo muhimu wanayojishughulisha nayo ni haya yafuatayo:
Maongozi ya kiroho na ushauri wa kiroho
Kuoneza moyo na ibada kwa Bikira Maria wa Mlima Karmeli
Shughuli za parokiani
kuwasaidia wasiojiweza (maskini na wagonjwa)
Kufundisha dini mashuleni
Kueteta haki na amani
na shughuli nyingine nyingi kwa ajili ya kueneza ufalme wa Mungu