Kanisa la zamani.
Picha ya kanisa la zamani ambalo limebomolewa ili kupisha ujenzi wa kanisa jipya. Waamini wa bunju wanajiandaa kuanza ujenzi wa kanisa mwaka huu 2015.
Ratiba ya misa ni kama inavyoonesha kwenye ubao wa matangazo