NADHIRI ZA MUDA 13.09.2009
Katika Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Napoli Italia.
NADHIRI ZA DAIMA 05.12.2012
Katika Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Napoli Italia.
USHEMASI 04.01.2013
Katika Kanisa Kuu la Mt. Yosefu –Dar es Salaam, na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
UPADRISHO 05.07.2013
Katika Kanisa la Mt. Peter Claver Mbezi Luisi na Mha. Askofu Titus Joseph Mdoe, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
MISA YA SHUKRANI 14.07.2013
Katika Parokia ya Mt. Agostino, Ukonga, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
31.07.2013, Parokia ya Bikira Maria Malkia wa ulimwengu, Kijwire -Kagoma
Ee Mungu uwabariki na kuwalinda katika upendo wako, wazazi, ndugu, jamaa, walezi, wafadhili na wote walionisaidia kuijongea Altare yako Takatifu.
Uwape maisha ya milele marehemu wote wa ukoo, WAPUMZIKE KWA AMANI. AMINA.
BIKIRA MARIA WA MLIMA KARMELI UTUFUNIKE KWA SKAPULARI YAKO, UTUOMBEE. AMINA.
Wakati litania ya watakatifu ikiimbwa na wanadhiri wanaifia dunia.
Siku aliyopewa akolito, utumishi wa altareni wa kuandaa altare.