Hatua za mchakato wa malezi
Hatua za malezi ya awali ni kuingizwa katika njia ya maisha ya kikarmeli. Zinakusudiwa ziwe za taratibu na mwendelezo wa kuanza safari ya mabadiliko ambayo yanadumu kwa maisha yote.
Kabla ya unovisi (Pre -novitiate). Kwa hapa Tanzania hiki kipindi tumekigawanya katika sehemu mbili: Kipindi cha uasipiranti kinachodumu kwa mwaka mmoja na kipindi cha upostulanti kinachodumu kwa miaka 3 ambayo wanafunzi huwa wanasoma falsafa kabla ya kwenda unovisi.
na kipindi cha nadhiri za muda