Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli ilianzishwa tarehe 24.8.2012.
Parokia ya Bunju chini ya mapadre wakarmeli inahudumia vigango vitatu na cha nne kiko katika maandalizi ya kufunguliwa rasmi.
Kigango cha kidimu, kigango cha vikawe, kigango cha mabwepande na kigango cha kinondo.
Kigango cha Mt. Josefu Bunju ni cha kichungaji tu. Vigango vingine vyote vinaweza kukua na kuwa parokia. Lakini cha bunju tayari kiko ndani ya Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli. Kiliwekwa ili kuleta ulingano wa kichungaji ndani ya parokia.
Mwenyekiti wa parokia balozi Nicolaus Kuhanga Kulia akiwa na
Katibu wa parokia Mr. Juvinalius Balige katikati na Breg.
Aloyce Mwanjile kushoto
Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli ina jumla ya vigango vitatu na cha nne kipo katika maandalizi ya kuanzishwa. Kigango cha Mabwepande, Kigango cha Kidimu, Kigango cha Vikawe na Kigango cha kinondo ambacho ndo kiko katika hatua za awali za majaribio. Parokia hii iko chini ya uchungaji wa mapadre wakarmeli (O.Carm).
Konventi ya wakarmeli parokiani bunju
Kwa sasa Ibada za Misa Takatifu na
maadhimisho mengine ya kiliturujia
yanafanyika katika sehemu
hii ya kanisa la muda.