MAHALI TULIPO
Kwa sasa tuna konventi moja tu iliyoko katika Jimbo kuu la Dar es Salaam. Eneo linaitwa bunju A shule.
Kwa Tanzania shirika linaongozwa na mapadre watanzania walioko chini ya uongozi wa Komisarieti kuu ya La Bruna yenye makao yake Napoli Italia.
Tumeanza kupokea vijana wanaotaka kujiunga na shirika letu
Awe amemaliza kidato cha sita na awe na amefaulu.
Kwa mawasiliano unaweza kuongea na Mkurugenzi wa miito Padre Victor Biramata au padre yeyote mkarmeli au masista wakarmeli.
1. Tanzania
2. Kenya
3. Burkina Faso
4. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
5. Zimbabwe
6. Msumbiji
7. Kameroon.
Mapadre wakarmeli wa bunju