Post date: May 28, 2017 3:06:09 PM
Tulipoanza malezi katika Jimbo la Morogoro tulikaa kwa mapadre Wakonsolata kwa mwaka mmoja na baadae tulipata nyumba ya kupanga karibu na chuo. Kwa mwaka tulilipa sh 7,800,000/-.