Nabii Eliya anatajwa katika kitabu cha kwanza na cha pili cha Wafalme
(1Fal 17:1). Aliishi kwenye karne ya 9 K.K wakati wa utawala wa mfalme Ahabu. Aliteswa na mfalme Ahabu (1Fal 17:2-7). Alilishwa kwa miujiza na kunguru (1Fal 17:2-7). Alitetea kuabudu Mungu wa kweli. Alikaa siku arobaini bila kula (1Fal 19:8).