Fr. Dominic John Somola the third Tanzanian Carmelite
Padre Dominic Somola aliweka nadhiri za muda tarehe 4.9.2004 na za daima tarehe 9.1.2009 nchini Italia. Alipewa Daraja Takatifu ya Ushemasi tarehe 6.5.2011 na Mhashamu Salutarius Libena na ya Upadre 24.8.2012 na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.Kwa sasa ndio paroko msaidizi wa parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli
Padre Dominic Somola na Signora Flavia Lamantia. Huyu mama ndiye aliyechora kanisa la bunju linalojengwa sasa.