Fr. Paul D. Malewa the fourth Tanzanian Carmelite with other two
Padre Paul Malewa aliweka nadhiri za muda tarehe 13.9.2009 na za daima tarehe 5.12.2012 nchini Italia. Alipewa Daraja Takatifu ya ushemasi tarehe 4.1.2013 na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na akapewa Daraja Takatifu ya Upadre tarehe 5.7.2013 na Mhashamu askofu Titus Mdoe askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.Kwa sasa ndiye mlezi wa vijana parokiani.
Akipokea amani toka kwa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Siku ya nadhiri za daima 5.12.2012 Napoli Italia.
Wakati wa maandamano ya nadhiri za muda huko Napoli Italia 13.9.2009.