Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli (BMMK)-Bunju
P.O.Box 14328 Dar es Salaam.
Email: carmelitestz@gmail.com
Ratiba ya Ibada na huduma mbalimbali
Misa Takatifu:
Dominika
MISA I 12:15 Asubuhi
MISA II 02:00 Asubuhi
MISA III 04:00 Asubuhi
Maeneo ya kuadhimishia ibada za misa
Jumatatu -Jumamosi 12:30 Asubuhi
Maungamo:
Jumatatu - Ijumaa asubuhi mara baada ya Misa. Na jioni.
Ibada ya kuabudu
Alhamisi 11:00 jioni.
Huduma za wagonjwa
Ijumaa na Jumapili -Jioni.
Huduma za ofisini
Jumanne -Ijumaa
02:30 asubuhi -6:00 mchana.
09:30 alasiri -11:00 jioni.
Ubatizo wa watoto wachanga
Jumamosi ya kwanza ya mwezi.
Barabara inayotokea kanisani