Shirika la wakarmeli linawatakatifu wengi ambao wanajulikana kama walimu wa sala na maisha ya kiroho na tafakari. Watakatifug
hawa wanatoka katika zizi moja la Karmeli lenye matawi mawili. OCD na O.CARM. Lakini wote ni wakarmeli. Kwa kufuata nyayo za mababa zetu walioishi Mlima Karmeli, karmeli inaendelea kutoa nafasi kubwa katika sala na tafakari.