Lectio Divina hutumika kama chemchemi ya sala na maisha ya kiroho ya wakristo. Hufanyika kwa kufuata hatua nne
Lectio -Usomaji wa Neno la Mungu
Meditatio -Tafakari Neno la Mungu
Oratio - Maombi -Jibu kwa Neno la Mungu
Contemplatio -Zama au baki katika Neno la Mungu. Unabaki katika uwepo wa Mungu