Post date: May 28, 2017 6:38:11 PM
Anaelezea jinsi alivyopata shida kuitikia wito wa utawa. Anawaalika vijana wengine kuisikiliza sauti ya Mungu ndani mwao.