Fr. Paschal J. Shirima the fourth Tanzanian Carmelite
Padre Paschal Shirima alizaliwa tarehe 19.10.1977. Alijiunga na shirika mwaka 2000 baada ya kumaliza masomo ya kidato cha sita Azania. Aliweka nadhiri za muda tarehe 13.9.2009 na za daima tarehe 5.12.2012 nchini Italia. Alipewa Daraja Takatifu ya ushemasi tarehe 4.1.2013 na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na akapewa Daraja Takatifu ya Upadre tarehe 5.7.2013 na Mhashamu askofu Titus Mdoe askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Maandamo ya kupewa Daraja Takatifu ya Ushemasi.
Siku ya nadhiri za daima 5.12.2012 Napoli Italia.