Karamu ya Mwisho
Siku tatu za Pasaka –kuteswa, kufa na kufufuka kwake Kristo.
Alhamisi Kuu –Karamu ya Mwisho –Sakramenti ya Mapendo.
· Kuwekwa kwa Ekaristi Takatifu –Mwili na Damu ya Kristo (Mt 26:26-29, Mk 14:22-25; Lk 22:15-20). Damu –agano la kale...Damu ya Kristo –nguvu ya Ibilisi.
· Na Daraja Takatifu ya Upadri –kama nisipokutawadha –kuhudumu kwa ajili ya Mwili na Damu ya Kristo.
· Amri ya Bwana ya kupendana –utumishi -Mapendo ya Kristo.
· Utumishi –kutawadha miguu -kielelezo cha mapendo
PASAKA –KUVUKA. (Yohane -16:28 Nauacha ulimwengu na kwenda kwa baba)