Utaratibu wa kubatiza wakati wa kesha la Pasaka
BAADA YA KUBALIKI MAJI
1. Wakatekumeni wanamkataa shetani Taz..Misale ndogo uk 920, Misale ya altareni uk 74 (Ikifaa waseme wakatekumeni tu)
2. Ungamo la Imani. Taz Misale ndogo uk 920, Misale altareni uk 74
3. “hiyo ndiyo imani yetu”. Haisemwi (inarukwa).
4. Je mwataka....halafu inafuata Ubatizo
5. Kupakwa mafuta matakatifu ya Krisma
6. Anapewa nguo nyeupe......
************ Mwisho wa Ubatizo *********************
Wote wanawasha mishumaa na kurudia ahadi za ubatizo
Wote wananyunyiziwa maji.