Karibuni tuistawishe Karmeli Tanzania
Historia ya Wakarmeli wa kwanza Watanzania
The brothers of the Order of Carmelites (O.Carm) of Tanzania work in the parish of Our Lady of Mount Carmel Bunju in the Archdiocese of Dar es Salaam.
Watumikizi wakiwa katika picha ya pamoja katika kituo cha hija bagamoyo
Wakarmeli wa Utawa wa Tatu wakutana chang'ombe. Wakarmeli hao walitoka boko, bunju na wenyeji wenyewe wa chang'ombe. Huu ni mkutano wao wa kila mwaka ambapo wanakutana na kujadili mambo mbalimbali ya shirika. Kwenye mkutanao wa leo 4.7.2015 walijifunza chimbuka la wakarmeli na jinsi ya kujiunga na Utawa wa Tatu. Padre aliyeongoza mada ya leo ni Padre Victor Biramata, O.Carm. Pamoja naye alikuwepo pia frateri Joseph kutoka Kenya.