Haya ni baadhi ya majina ya watu wanaotajwa kama manabii
1. Nabii –Ibrahimu (Mwa 20:7).
2. Nabii –Haruni (Aroni) (Kut 7:1).
3. Nabii –Musa (Kumb 18:15; 34:10).
4. Nabii –Samweli (1Sam 3:20).
5. Nabii –Gadi (1Sam 22:5).
6. Nabii –Nathani (2Sam 7:2).
7. Nabii –Ahiya (1Fal 11:29).
8. Nabii –Yehu (1Fal 16:7).
9. Nabii –Eliya (1Fal 18:22). Nabii si mwandishi.
10. Nabii –Elisha (1Fal 19:16; 2Fal 5:8; 2Fal 6:12).
11. Nabii –Yona (2Fal 14:25).
12. Nabii –Isaya (2Fal 19:2). Nabii mkubwa –mwandishi.
13. Nabii –Shemaya (2Nya 12:5)
14. Nabii –Odedi (2Nya 28:9).
15. Nabii –Yeremia (2Nya 36:12; Yer 1:5). Nabii mkubwa –mwandishi.
16. Nabii –Hagai (Ezr 5:1).
17. Nabii –Zekaria (Ezr 5:1).
18. Nabii –Ezekieli (Eze 1:1-3). Kuhani na nabii. Nabii mkubwa mwandishi.
19. Nabii –Daniel (Dan 7:1) Maono -Nabii mkubwa.
Manabii wadogo
Kabla ya uhamisho wa babeli
1. Nabii –Hosea
2. Nabii –Amosi
3. Nabii –Mika
4. Nabii –Nahumu
5. Nabii –Sefania
6. Nabii –Habakuki (Hab 1:1).
Baada ya uhamisho wa babeli
1. Nabii –Hagai (Hag 1:1,3).
2. Nabii –Zekaria (Zek 1:1).
3. Nabii –Malaki (Mal 1:1) -ufunuo.
4. Nabii –Obadia (Oba 1:1) -maono.
5. Nabii –Yoeli.
6. Nabii –Yona