Padre Thomas Mtey, O.Carm. Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmel bunju. Alipewa Daraja ya Upadre 19.11.2006 na Askofu Filippo Iononne, O.Carm. Alisoma masomo ya falsafa na teolojia huko Italia katika Jimbo Kuu la Napoli. Ni padre wa pili mtanzania katika Shirika la Wakarmeli.