Wakarmeli wa Afrika wakuu wa delegation na Commisarieti na walezi watakuwa na mkutano utakaofanyika Dar es Salaam Tanzania kuanzia tarehe 21 Januari 2015 hadi 26 Januari 2015. Tuwaombee.
hhhhhh
Padre Conrad Mutizamhepo Mshauri wa Mkuu wa Shirika la wakarmeli kwa upande wa Afrika yuko nchini Tanzania kwa ajili ya mkutano utakaofanyika kuanzia tarehe 21 Januari hadi tarehe 26 Januari jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utafanyika katika kituo cha kiroho kilichoko boko. Kituo hiki kinaendeshwa na masista wakarmeli.
Mkutano wa wakarmeli waendelea vema katika kituo cha kiroho boko kwa masista.
Kundi la kwanza la wakarmeli waliofika Dar es Salaam Tanzania tarehe 1.10.2009 kuanzisha misheni ya kikarmeli.