Fr. Victor aliwasili Harare Zimbabwe tarehe 14.03.2025 kuwatembelea wanovisi. Alipokelewa na Fr. Aildain na kufikia Hatfield. Baadaye alikwenda Nyazura ambapo ndipo ilipo nyumba ya unovisi. Katika jumuiya ya Nyazura wapo padre Simplisio, Padre Wiseman ambaye ndiye mlezi wa wanovisi na padre Underson. Wanaovisi hao wanatoka nchi za Kenya, Tanzania, Mozambique na Zimbabwe wanafanya unovisi wao huko Nyazura. Alikutana nao na kufanya nao vipindi. Anatarajiwa kuondoka tarehe 21.03.2025 kurudi Dar es Salaam Tanzania.
Kutoka kushoto ni Sulyvan, Juvencio, Zeferino. Nyuma yao ni Fr. Victor
Kutoka kushoto Matthew, Fredrick, Fr. Victor, na Moses
Kutoka kushoto ni John, Faustine, Fr. Victor, na Ansbert
Kutoka kushoto ni Kudakwashe, Fr. Victor, Simbarashe, na Munashe