Mapadre Wakarmeli tangu wafungue misheni hapa Tanzania katika Jimbo kuu la Dar es Salaam, wamekuwa wakitoa huduma za kiroho, na za kibinadamu katika Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli bunju. Parokia hii mpaka sasa ina vigango vinne. Kigango cha kidimu, kinachoendelea kujenga Kanisa, kigango cha Vikawe, nacho kinaendelea na ujenzi wa Kanisa, kigango cha Mabwepande, nacho kinaendelea na ujenzi wa Kanisa, na kigango cha Kinondo. Ujenzi wa Kanisa unaendelea parokiani bunju. Hivyo kwa ujumla yanajengwa makanisa manne kwa wakati mmoja.
Quest'anno, 2019 ad Ottobre, celebreremo 10 anni della presenza Carmelitana in Tanzania. Vi chiediamo di unirvi a noi mentre ringraziamo il nostro Signore Gesù Cristo per il dono della vocazione e il nostro servizio alla Chiesa di Dio in Tanzania.
This year 2019 in October, we will be celebrating 10 years of the Carmelite presence in Tanzania. We ask you to join us as we thank our Lord Jesus Christ for the gift of vocation and our service to the Church of God in Tanzania.