Wakarmeli popote pale wanatafuta kuishi maisha ya tafakari na kuwa na muda mzuri wa sala na maombi
· Utume wa parokia
· Kuishi maisha ya kindugu na sala katikati ya watu.
Kuhakikisha huduma za kiroho zinapatika muda wote.
· Kuwasaidia wasiojiweza na wahitaji (maskini na wagonjwa).
· Kufundisha dini mashuleni.
· Kueneza moyo wa ibada kwa Bikira Maria.
· Kutetea haki na amani.