Rambirambi

Post date: Feb 19, 2012 9:30:9 PM

Rambirambi

Kiswahili/Swahili

Mtu alinizungumza juzi. Amependa kusoma MaGaZiNe yEtU. Lakini kwa bahati mbaya aliniambia mume wake alikufa juzi. Nilimambia rambirambi nami nilimpa salaama yangu. Alisema polisi hajasema sababu gani alikufa lakini wametafuta sababu. Aliniambia polisi walisema mume wake halikufwa mtu fulani mwengine. Wameoana kwa wakati refu na miaka mengi. Tumewapa famalia wake salaama zetu kweli.

Tumependa Whitney Houston. Alileata miwimbo wengi zake popote dunia. Ametuonyesha ngoma nzuri, na sauti bora sana. Hakuna mtu mwengine kuwa fanana na yeye. Kwa bahati mbaya alikufa pia. Tumewapa famalia wake salaama zetu kabisa.

Kiingereza/English

[One of our readers of MaGaZiNe yEtU disclosed to the publisher that her husband recently passed away in a small town outside of the Iowa I-80 Corridor. The local police are claiming that at this point they found no foul play. Yet the investigation is not complete. The couple were married for a many years. We give our deepest sympathies to the wife and family of the deceased. MaGaZiNe yEtU finds it appropriate to only publish photos of private individuals in tragedy situations upon prior permission. At this time no photo of the wife or family is available, and due to privacy, pictures or names may not become available for this purpose.]

[We love Whitney Houston. She brought her many songs all over the world. She showed us good music and a great voice. We truly give our deepest sympathies to the her family. There is no other person similar to her.]