VENUS - CRESCENT MOON CONJUNCTION

MKUTANO WA ZUHURA NA MWEZI HILALI

Alfajiri ya kesho, Jumatano tarehe 21 Juni, baada ya saa kumi na nusu utaweza kuona mkutano wa sayari ya Zuhura, inayowaka vikali sana kama nyota ya asubuhi, pamoja na hilali ya Mwezi.  Zitatoa madhari ya kukvutia sana katika anga ya mashariki, kiasi cha nyuzi 40 juu ya upeo wa mashariki Jua linapochomoza.

 

VENUS CRESCENT MOON CONJUNCTION

The dawn of Wednesday from 4:30 AM on 21 June will provide a spectacular show of a crescent Moon that is very close to brilliant Venus.  The beautiful sight will be seen in the east, 40 degrees above the eastern horizon when the Sun rises. 

 

 

 

Comments