Kama mtoto wako ako na ubaguzi wa chakula aina yeyote, kama vile nyama ya nguruwe, gelatin, samaki, unapaswa kuangazia ofisi mbele na mwalimu wao. Unaweza pia kuangalia kila mwezi CCSD menyu, ambayo inapatikana kwa huduma ya chakula ya CCSD, au kuleta chakula kutoka nyumbani.
Kama mtoto wako hupata madhara yeyote kwa kutumia aina yoyote ya chakula, lazima apate barua kutoka kwa daktari wako. Hakikisha kuorodhesha madhala yoyote katika fomu ya ruhusa ya matibabu ya mwanafunzi.
Unaweza kupata shule ya kati, na menyu ya shule ya Upili ya mtandaoni kwa kubonyesha hapa.
Wanafunzi wengine wa Wilaya ya Clark County wanaweza kufuzu kwa chakula cha bure au cha kupunguzwa kwa bei kulingana na ukubwa wa familia na mapato kama sehemu ya Programu ya Shule ya chakula cha mchana/ kifungua kinywa , ambayo hutoa chakula bora kila siku ya shule kwa wanafunzi wanaostahili kushiriki katika msingi, kati / junior juu,na shule za sekondari.
Maombi ya chakula ya ziada ama bei punguvu, lazima yamekamilishwa kila mwaka;Kila jamii hutuma maombi mara moja kwa mwaka. Muda wa kungonjea inachukua siku 10 kupata majibu. Tunakuhimiza kuomba mtandaoni kwenye https://www.fns.usda.gov/documents-patikani-lugha -zingine.Hii njia ni rahisi na inapungunguza muda wa maombi kujibiwa kutoka offisi inayoshughulika mafanikio ya chakula,na kwa wale wanahitimu mafanikio inaanza mara moja.
Wanafunzi ambao walihitimu Kwa ajili ya huu mpango mwishoni mwa mwaka Jana wataendelea kutumia hiyo idhini hadi Septemba 25, 2017.Lazima kutuma maombi ya vyakula ya mwaka 2017-2018 kama bado hujapata barua (iliyoandikwa mwaka wa shule wa 2017-2018) kutoka CCSD Food Service Department kudhibitisha kuorodheshwa kwa mtoto wako.Tunakuhimiza kutuma maombi ya lishe haraka iwezekanvyo.