VICOBA Members Registration

(Usajili wa Mwanachama)

Karibu kwenye mfumo wa usajili wa wanachama wa VICOBA wa Community Plus Organization (COPO).

Fomu hii inatumika kusajili wanachama wapya wanaotaka kujiunga na vikundi vya VICOBA vinavyosimamiwa au kufuatiliwa na COPO.

Kupitia usajili huu, taarifa muhimu za mwanachama zitahifadhiwa kwa ajili ya:

Tafadhali hakikisha taarifa zote zinajazwa kwa usahihi kabla ya kuwasilisha.

NB: Taarifa zote ni SIRI kati ya Mwanachama na Shirika. Kwa kuzingatia vigezo na masharti.