Karibu kwenye tuvuti hii ya fasihi... Hapa tunaenda kuzungumzia fasihi kwa upana wake. tumehakikisha kwamba nyanja zote za fasihi zimechanganuliwa ipasavyo. Vile vile kuna maswali kuhusu mada teule na jinzi ya kujibu maswali ya fasihi.
Vipera vya mazungumzo.
Vipera vya ushairi.
Vipera vya semi.
Vipera vya masimulizi/hadithi.
Vipera vya ngomezi.
Msimulizi wa hadithi pia huitwa mtambaji, fanani au mganaji.
Kwa Mukhtasari, Tamathali za semi ni aina ya matumizi ya lugha yanayohusishwa sana na ushairi na lugha nathari.
Hizi ni kama;
JUA SASA HAPA.
Usisahau kubonyeza hapa ili upate kujua mengi kuhusu tuvuti hii yetu ya fasihi. hii ni tuvuti ya kipekee iliyotenga , kusanya na kutalii vipera vyote vya fasihi. Isitoshe,nyimbo mbali mbali za kidini zimehorotheshwa
Ahsante sana kwa kutembelea tuvuti hii natumai ilikusaidia ipasavyo.