Wanafunzi katika Pre-K na Chekechea hutumia iPads. Ili upate maelezo zaidi kuhusu iPads, bofya hapa.
Wanafunzi katika daraja za 1-12 hutumia Chromebook. Ili upate maelezo zaidi kuhusu Chromebook, bofya hapa.
Wanafunzi katika Pre-K hadi Daraja la 12 hutumia Clever kama ukurasa wa kuingia mara moja ambapo wanaweza kupata nyenzo zao nyingi za masomo. Ili upate maelezo zaidi kuhusu Clever, bofya hapa.
Wanafunzi wa Pre-K, Chekechea, na Daraja la 1 hutumia Seesaw. Seesaw ni tovuti ambayo waalimu wanaweza kuchapisha maozezi na wanafunzi wanaweza kumaliza mazoezi na kuyawasilisha. Walimu wanaweza pia kutumia Seesaw kuchapisha matangazo muhimu. Ili upate maelezo kuhusu Seesaw, bofya hapa.
Wanafunzi katika daraja la Pre-K hadi Daraja la 12 hutumia mkutano wa video (Google Meet, Zoom, n.k.) ili kujiunga na darasa la moja kwa moja (linaloongozwa za mwalimu). Mwanafunzi wako atahitaji kujiunga na mkutano wa video kwa wakati uliopangwa ili aweze kushiriki katika somo. Ili upate maelezo zaidi kuhusu mkutano wa video, bofya hapa.
Wanafunzi wa Daraja la 1-12 hutumia Chromebook. Ili upate maelezo zaidi kuhusu Chromebook, bofya hapa.
Wanafunzi katika Pre-K hadi Daraja la 12 hutumia Clever kama ukurasa wa kuingia mara moja ambapo wanaweza kupata nyenzo zao nyingi za masomo. Ili upate maelezo zaidi kuhusu Clever, bofya hapa.
Wanafunzi wa Daraja za 2-12 hutumia Google Classroom. Google Classroom ni tovuti ambayo waalimu wanaweza kuchapisha mazoezi na wanafunzi wanaweza kumaliza mazoezi na kuyawasilisha. Walimu wanaweza pia kutumia Google Classroom kuchapisha matangazo muhimu na kuwasiliana na familia. Ili upate maelezo zaidi kuhusu Google Classroom, bofya hapa.
Wanafunzi katika daraja za Pre-K hadi Daraja la 12 hutumia mkutano wa video (Google Meet, Zoom, n.k.) ili kujiunga na darasa la moja kwa moja (linaloongozwa na mwalimu). Mwanafunzi wako atahitaji kujiunga na mkutano wa video kwa wakati uliopangwa ili aweze kushiriki katika somo. Ili upate maelezo zaidi kuhusu mkutano wa video, bofya hapa.