Tarehe: Septemba 01, 2018
Somo Kuu: Yeremia 7
Neno la Kumbukumbu: Jeremiah 7:18
Utangulizi:
Katika karne hii ya ishirini na moja, kuna wengi wanaomtolea kafara kwa malkia huyu wa miungu. Ni mateka wa tamaduni zake. Macho yao yanaweza kufunguliwa tu na Bwana na maandiko pekee.
Ufafanuzi:
Malkia wa mbinguni ni sanamu ya miungu ambayo imekuweko kwa miaka elfu nyingi. Amechukua majina mengi: Astoreti, Ishtar, Diana, na leo ...... Maria mama wa Yesu.
1. Elohim amwongelesha Yeremia. Asema Yuda wamwabudu nani? Yeremia 7:18
2. Je, sanamu ya Yuda ilifichwa? Elohim alimjibu nini Yeremia kuhusu maombi yake. Yeremia 7:17, 16
3. Je, walikuwa wanamwabudu malkia pekee? Au walikuwa wanaabudu wengine? Yeremia 7:9
4. Elohim alifurahishwa na ibada hii? Yeremia 7:20
5. Familia yote ilishiriki katika kumuenzi. Mapigo yao yalikuwa chungu kiasi gani kwa kuabudu malkia? Yeremia 7:16-19, 15
6. How did Jesus speak to Mary, his earthly mother? John 2:1-4; John 19:26
Note:
Jesus spoke to Mary as a woman. He did not give her honor as a mother. This is because He is the Son of God. Mary was only the earthly conduit by which He came into the world.
Note:
Jesus's statements is not a license for children to speak to their parents in the same way. Earthly children, honor your earthly parents!
7. Was Mary free from sin? Does she qualify to be a god or the queen of heaven? Romans 3:23; Galatians 3:22
8. Is she still a virgin? Matthew 1:23-25
9. Whom must we worship? Revelation 4:10, 11; Psalms 96:9
Conclusion:
Judah worshipped the queen of heaven; they were exiled from their promised land. Many Christians worship the queen of heaven; what will be their fate?