Kwa ujumlawake Dini ni mfumo wa jamii,mafundisho,na ibada unayounga binadamu na Mungu mambo ya roho na nguvu za asili .Inahusisha miongozo ya maadili ,desturi na mila zinazoongeza maisha ya kila siku .
Katika historia ya binadamu dini imekuwa nafasi kubwa sana katika kuongoza watu kiroho, kimaadili, ikiwa kila dini inachanzo chake ,maranyingi ikiwa mtu au kundi la watu ,wakiwemo wawakilishi wa Mungu hapa Duniani .
mfano: Mtume muhammad na uislam nimtume aliyepokea wahyi uliokusanywa katika Qur'an , Mafundisho yake yanasisitiza amani, haki na kutegea Mungu mmoja ( Qur'an 94:6).
- Yesu kristo na ukristo ,kitabu kitakatifu cha biblia kinazungumzia hasa Mafundisho ya Yesu kristo ambaye ni Mungu mwana aliyejitoa kufaa kwa jili ya mwanadam na ujumbe wake mkuu ulikuwa ni upendo ,msamaha na huruma (mathayo 22:39).
Toka enzi Dini ni sehemu muhimu sana katika jamii nyingi duniani ,dini hutoa mwongozo wa maisha ,maadili na uhusiano kati ya mwanadamu na muumba wake , licha ya kuwa na dini mbalimbali wakati lengo kuu la dini linafanana kwa upana wake .( Qur'an 51:56) na( Biblia Mathayo 22:39).
Ikiwa fikra za watu wengi ni kujua kilichojificha nyuma ya Dini , havyo hivyo kunanukuu , maoni na machapisho mbalimbali yanayo lenga hasa kupinga dini kuwa imelenga unyonyaji na ugandamizaji hii kutokana na mwenendo wa baadhi ya viongozi kwa waumini kutumia dini kama kichaka cha kujifichia wakitenda maovu yao.
Kwakuwa dini huaminika na kuheshimiwa sana na jamiii hivyo huwapa wahalifu nafasi ya kujikinga dhidi ya mashaka ,watu wakiona mtu ni wa ibada au anajihusisha na mambo ya dini huwa hawamtiliishaka kirahisi mfano , uchawi ,ushoga, usagaji,mwizi ,uuwaji,utapeli na ujangili anaweza kujifanya mtu wa mungu au hata kushiriki shughuli za dini ili kuficha uharamu wa shughuli zake ili kuepuka uchunguzi wa karibu.
Aidha baadhi ya watu hupotosha mafundisho ya dini ili kuhalisha metendo yao maovu au kujinufaisha . wengine kujitangaza kama viongozi wa kiroho ili kuwahadaa waumini na kupata fedha au ushawishi.
ILLUMINATI NI KINA NANI??.
Iluminati ni jamii iliyo buniwa miaka 245 iliyopita .
Jamii hiyo ilizua nadharia miaka mingi huku wstu wengi wakidai ni shirika moja la kisili ambalo nia yake ni kuteka uongozi wa dunia.
Mbali nakuwa na mapinduzi makubwa duniani na mauwaji, lakini illuminati ni akina nanii?? Na kweli walithibiti ulimwengu??.
Hichi ndicho ambachokimetawala fikra za kili moja na kujua kuhusu moja ya jamii za sili zinazovutia sana katika historia.
-je ni akina nanii walioianzishaa jamii hii ya sili, Jamii ya sili ilibuniwa huko inchini Bavarian kwa sasa ni ujerumani ambapo ilikuwepo kuanzia mwaka 1776_1780,Ambapo wanachama wake walijiita wakamilifu. Kundi hilo lilianzishwa na profesa wa sheria Adam weishaupt lengo ni kukuza elimu ya fikra ili kupinga uchawi ushawishi wa kidini katika jamii.
Sayansi inayofanana na dunia ya gubduliwa unajua chimbiko la illuminati?? "Sanamu la shertani lenye upole mwingi", weishuaupt alitaka kubafilisha jinsi serikali zinavyoendeshwa barani ulaya. (Govrnment system), akijikita kwenye lengo lake la kuondoa ushawishi wa dini katika serikali na kuwapatia walimwengu muongozo mpya. Inaaminika ya kwamba mkutano wa kwanza ulifanyika katika msitu mkubwa huko inchini Bavarian karibu na Ingolastadt mwezi mai tare mosi 1776.
Nyota wa Tanzania Mbwana samatta, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili 2026 katika klabu yake ya Le Havre AC, inayoshiliki ligi kuu ufaransa.
Mwaka wa 2018 mwanamke mmoja alitembelea maabara Moja katika chuo kikuu cha Columbia , ili kupima vinasaba vya vijana wake wawili mapacha
Maabara hiyo ilifanya vipimo vya kawaida mara nyingi Hadi kurudia tena, lakini majibu yake yalishangaza wengi, mapacha hao walikuwa na mama mmoja na baba tofauti
Hali hii ni yakipekee kisayansi inaitwa "heteropaternal superfecundation
Visa kama hivi ishirini(20) vimeripotiwa duniani na matokeo yamechapishwa katika majarida ya kisayansi
Ingawa wanasayansi wa chuo hicho walisema kuwa inaweza kutokea ila hawakuwa wameshuhudi kitaalamu
Simba SC imemweka katika kikosi Cha kwanza mchezaji wao Jonathan SOWAH Kwa kukosekana Kwa muda mrefu katika kikosi Cha kwanza
Jonathani sowah ameanza mazoezi katika kikosi Cha vijana U20 Kwa lengo la kuludisha utimamu wa akili na mwili
Klabu ya Simba SC imempa mchezaji huyo nafasi nyingine ya pili katika kikosi hicho
KWA HABARI MPYA ZINGINE GUSA NENO "READ MORE"
ELIMU, AFYA, SHERIA, MAHUSIANO
Read more
KUEMBELEA ACCOUNT ZETU GUSA ALAMA YA WHATSAPP AU FACEBOOK