HABARI MPYA LEO
HABARI MPYA LEO
klabu ya Simba SC club imemrejesha mchezaji wao Jonathan SOWAH ndani ya kikosi Cha kwanza baada ya kukosekana Kwa muda mrefu katika kikosi Cha kwanza
Simba SC imemweka katika kikosi Cha vijana U20 kwaajiri ya MAZOEZI ili kujiweka mwili utimamu wa kimchezo