Sisi ni timu ya watafiti, wahifadhi wa makumbusho, wanafunzi, wawakilishi wa jamii ya Wazaramo, na wataalamu wa urithi wa kitamaduni waliojitolea kufufua na kuendeleza utamaduni bora wa miji kwa ajili ya ustahimilivu na uendelevu wake. Mradi huu umepata ufadhili kupitia mradi wa SMUS wa TU Berlin chini ya DAAD pamoja na msaada wa Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo nchini Ujerumani. Kiongozi wa mradi ni Dkt. Nancy Rushohora https://www.udsm.ac.tz/user/448 na Bi. Sechelela Magoire akiwa msimamizi mwenza.
Wasiliana Nasi
rushohora.nancy@udsm.ac.tz