Kamusi elezo ya maisha ya WaSongola,

Kindu Maniema R. D. Congo








Lugha ingine

Hii ni kamusi elezo ya waSongola wanaoishi karibu na Elila, Kindu, Maniema, R D Congo. Tungependa kujifunza, kuhifadhi, na kufundisha vijana, mali ya elimu na ya akili ya wazee juu ya maisha ya asili ya baharini na ya porini wa uSongola.