Ukumbi huu unaweza kubebe watu 300 kwa tukio moja, Unafaa kwa harusi, Sendo Off na Mikutano Wakati wa Jioni. Karibu sana.
Ni Muhimu kutangaza, Unapotanga Taarifa Ufika mbali pia Tukio hufanikiwa, Gari lipo Kwa Injili, Matangazo Ya mikutano na Biashara Yako
Kutokea Mwawaza
Fuata barabara ya Rami kwenda mjini mita 100 kabla ya Daraja la Upongoji, Kuna Msikiti Upande Wa kulia. Hapo kuna barabara Ya Vumbi mita 50 Kuna mnara Utakuwa Umefika
Kutokea Mjini
Fuata barabara ya Rami kwenda Mwawaza mita 100 Baada kuvuka Daraja la Upongoji, Kuna Msikiti Upande wa kushoto. Hapo kuna barabara Ya Vumbi mita 50 Kuna mnara Utakuwa Umefika