"Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;"
Matukio Ya wiki
IBADA KUU LEO JUMAPILI 15/10/2023
SOMO : NAFASI KATIKA HUDUMA .PR THOMAS BATENGA“Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu. ” — 1 Wakorintho 4:�1 (Biblia Takatifu).
WIKI YA SIFA NA MUZIKI TAIFA TAREHE 16 - 22/10/2023
MUDA “Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa.” — Zaburi 71:8 (Biblia Takatifu) 05:00 Jioni
IBADA YA JUMATANO TAREHE 18/10/2023 -WIKI LA SIFA NA MUZIKI
SOMO : NAFASI KATIKA HUDUMA .PR THOMAS BATENGASIFA ZA MTUMISHI WA MUNGU KATIKA WIKI LA SIFA MUZIKI