NAIVASH INVESTMENT LIMITED ni kampuni inayojihusisha na utoaji wa huduma mbalimbali za Ubunifu, Uwekezaji na suluhisho za biashara kwa lengo la kusaidia watu binafsi, taasisi na kampuni kufikia malengo yao kupitia huduma bora na zenye ubunifu
Tunatoa huduma za kidigitali zinazosaidia biashara kukua na kufikia wateja wengi
Tunatengeneza LOGO (Nembo), Mabango, Vipeperushi, Poster, Company profile, Business cards, Marketing materials n.k.
Tunapiga picha na ku-shoot video maalumu kwaajili ya matangazo, content, graduation, sherehe, na matukio mbalimbali
Tunatumia mashine za kisasa kuprint mabango, Mifuko ya nafaka (sacks), Business card & ID, Packaging & Branding materials n.k.
Tuna-engrave acrylic, rubber kwaajili ya kutengenezea sacks, Key-holder, personalized gifts, mabango ya 3D n.k.
Wasiliana nasi kupitia naivashinvestmentltd@gmail.com kufahamu zaidi.