FAQ (Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara)
FAQ (Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara)
Tunatoa huduma za Graphic Design, Laser Engraving, Media Production na Digital Printing.
Tunawahudumia wote; watu binafsi, wafanyabiashara, kampuni na taasisi.
Ndiyo. Tunatoa huduma za Large Format Printing kama banners (mabango), posters na vifaa mbalimbali vya matangazo.
Tunaweza kufanya engraving kwenye vifaa mbalimbali kulingana na aina ya bidhaa na mahitaji ya mteja.
Wasiliana nasi kupitia simu, barua pepe au mitandao yetu ya kijamii.
Naivash tunapatikana Junction ya kuelekea Mtaa wa fisi, barabara inayotoka Msikiti mkuu wa ijumaa (BAKWATA) - Mtaa wa Majengo (Paradise) - Mpanda, Katavi.
Tunahudumia (goods/services) watu wa maeneo yote nchini Tanzania. Kwa upande wa bidhaa tunazituma mikoa yote ya Tanzania na nje ya Nchi jirani.