T_Marketing
"Your Growth, Our Mission"
"Your Growth, Our Mission"
Karibu T_Marketing Agency👇
Na asante kwa kukaribia
Nina surprise yako moja kabambe leo, kabla sijaenda mbali naomba nikupe story fupi kwanza naamini utajifunza kitu...
Nilipokuwa chuo kikuu niliwahi fanya tafiti yangu ndogo, nikagundua kuwa asilimia 75% ya matajiri wote duniani walianza kwa KUUZA yaani bidhaa au kutoa huduma tofauti tofauti, basi nikaenda kujifunza mbinu za kuuza kutoka kwa watu waliobobea, Ziglar akiwa mmoja wapo, nikaja kugundua kuwa, kuna njia ambazo zilitajwa kwenye vitabu ambazo kwa sasa hazina mashiko sana, yaani zimepitwa na wakati sababu sahizi tupo katika ulimwengu wa KIDIGITALI na kampuni nyingi sahizi (naomba ufuatilie pia) zimewekeza BUDGET kubwa sana kwenye matangazo, sababu mauzo ndio yanaendesha kampuni, kwa maana hiyo mauzo yasipofanyika kampuni Hufa...
Nikawa nimepata mwanga wa kusoma zaidi e-commerce na digital marketing na biashara nyingine zinazozungusha pesa nyingi sana duniani, sio siri na sikufichi usione watu wanalipia fedha nyingi sana kurusha matangazo mitandaoni,usione watu wana lipa fedha nyingi kuandaa matangazo, ni ukweli usiopingika kwamba sahizi huwezi kuwafikia watu wengi kwa wakati mmoja bila kuhusisha mitandao ya kijamii naongea kwa experience kama mfanyabiashara pia...
Sasa unawafikiaje watu mtandaoni na huna brand, huna promo, huna Smart contents yani maudhui safi yanayoleta ushawishi na mvuto yakiwafikia watu wako, au wateja wapya?
Sasa leo, mimi na team yangu tupo hapa kufanya ndoto hizi zitimie, uwe na matangazo ya kuvutia na yenye kusisimua,najua umewahi kutafuta Landing Page yenye (Lead generation, call to action, brand promotion, conversion optimization), Design assets, Content files, Analytics setup na njia tofauti za kutangaza zitakazoleta utofauti na matokeo chanya kwenye biashara au utambulisho wako
Niruhusu nikuletee mkusanyiko wa watu waliobobea kufanya hizi kazi ili ziweze kufikia lengo lako yaani kuwafikia watu wako kwa ujumla na uweze kupata enquiries,....nimetumia (lugha ya mauzo) kidogo😁 Anyway back to business
Sisi tunaamini kila mtu au kampuni ina historia yake na sisi tunajivunia kuwa sehemu ya historia yako kwa kuelewa mahitaji yako na kufikia malengo yako kwa ufanisi
Je sisi ni kina nani na tunafanya nini?
Mambo yasiwe mengi kwa ufupi
T-Marketing Agency ni mkusanyiko wa wataalamu wanaoweza kubrand au kupromote biashara,event au mtu hivyo kuleta ukuaji (mauzo) katika chochote unachofanya, naomba nikupitishe uone profile yetu ikijumuisha uwezo wetu wa kiutendaji...
Sisi ni Designers na Marketing Agency
"Tunafanya ubunifu wa maudhui na kusaidia biashara kufanya matangazo na kujitangaza"
Hebu tuunde tofauti pamoja! Tungependa kusikia kutoka kwako na kuanza safari hii ya ubunifu pamoja.
#Sisi Kwetu Yaliyomo Yamo
Tukiongelea sample za kazi tunazo nyingi sana zenye kiwango cha lami unaweza tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili uweze kujionea mwenyewe
Karibu sana T-Marketing agency tuunde historia pamoja!!
Gusa utembelee mitandao yetu ya kijamii
👇