MSULE, WEBSITE DESIGNER

         

Miliki tovuti ya Biashara yako, upate wateja wengi  "online"

Link

💙KWA NINI UTUCHAGUE SISI.?


 ✌️LENGO LETU KWAKO.

Nia na lengo letu kubwa ni kukusaidia wewe mmiliki wa Biashara, Taasisi au Mtu Binafsi, kukutengenezea website itakayo kuwezesha kutimiza malengo yako. katika karne hii ya kidigital watu wengi wanapohitaji bidhaa au huduma  huingia online kwa lengo la kufanya tafiti kuhusu bidhaa au huduma wanazozihitaji ili waweze kufahamu bei, maoni  na ubora wa bidhaa hizo kabla hawajaamua kufanya manunuzi. 

Hivyo basi endapo utamiliki website yenye ubora na uwezo wa kuonekana kwenye ukurasa wa mwanzo wa Google kuna uwezekano mkubwa kupata wateja online.

Sisi hatukuachii website peke yako baada ya kukutengenezea kama wanavyofanya wengine. sisi tunahakikisha tunafanya kila kitu kwenye website hiyo  ambacho kitawezesha  website yako kuonekana kwenye ukurasa wa mwanzo wa Google ili uweze kupata wateja wengi. 

💰BEI ZETU.

Bei zetu ni nafuu sana, bei zetu zinatokana na aina ya website utakayohitaji, ukubwa wa biashara yako au mradi wako. Tafadhali jibu maswali yetu hapo kwenye fomu ili tujue zaidi unachohitaji.

20,000/TZSh

Feature.

✔️Google Business profile.

✔️support and maintenance

✔️No hosting Cost

✔️ 1-Day Delivery

 ❌ No custom domain

✔️Google site website/Blogger

❌Business email

45,000/=TZs

Feature

✔️Mobile friendly

✔️Google Business profile

✔️support and maintenance

✔️custom Domain (.co.tz domain)

✔️3-day Delivery

✔️Google site website/ Blogger

✔️Accessible business email for 1 year

150,000

Feature

✔️WordPress website

✔️free Tz Domain for 1 year

✔️unlimited email account

✔️hosting cost included for 1 year

✔️Google business profile

✔️support and maintenance

✔️Training available

✔️Mobile friendly

250,000/=

✔️WordPress website

✔️Google business profile

✔️support and maintenance

✔️custom domain

✔️Unlimited email account

✔️SEO feature

✔️Analytics

✔️website tips


1,000,000/=

✔️product inventory

✔️order management

✔️custom email

✔️SEO feature

✔️Analytics

✔️website tips

✔️unlimited email accounts

✔️support and maintenance 

✔️Google business profile