JE, UNAPATA CHANGAMOTO NA AKAUNTI ZAKO ZA MTANDAONI?
Meta (Facebook & Instagram) Google ,YouTube ,TikTok ,X (Twitter) , LinkedIn.
Katika dunia ya kidijitali, akaunti zako ni daraja la kufikia wateja, kujenga jina lako au kukuza biashara. Lakini je, umekumbana na mojawapo ya changamoto hizi?
Changamoto zinazojitokeza mara kwa mara:
• Akaunti kufungwa au kusimamishwa ghafla bila taarifa
• Kukwama kutuma au kuidhinisha matangazo
• Kudukuliwa kwa akaunti (hacked)
• Kutoweza kuingia (login issues)
• Kushindwa kuthibitisha utambulisho au biashara (verification)
• Kushindwa kusanidi tools muhimu kama Meta Pixel au Google Analytics .
USIHANGAIKE TENA!
Huduma ya Technical Account Support ipo kukusaidia haraka, kwa weledi na kwa kufuata utaratibu rasmi wa kila mfumo.
Huduma ya Technical Account Support inakusaidia kwa:
• Kurejesha akaunti zilizofungwa au kusimamishwa
• Kutatua matatizo ya kiufundi katika akaunti zako
• Kusanidi na kufunga zana muhimu kama Pixel & Tag Manager
• Kusaidia usalama na uthibitisho wa akaunti zako
• Kufuatilia kwa niaba yako hadi tatizo litakaporekebishwa .
Faida unazopata:
• Kuokoa muda na gharama
• Kupata msaada wa kitaalamu kwa kila hatua
• Akaunti zako kuwa salama, thabiti na tayari kutumika
• Kuendelea na shughuli zako za kidigitali bila vikwazo
Ushirikiano wako na mtaalamu ni suluhisho la haraka.
Usihangaike wasiliana nasi tukusaidie kwa ufanisi.
Huduma Hii ni bure kwa watu 20 wa mwanzo.