JIFUNZE KIINGEREZA KWA WALIMU BORA
DARASA ZA ONLINE ZA PRIVATE NA ZA GROUP ZA KIINGEREZA
Anza safari ya kujifunza
DARASA ZA ONLINE ZA PRIVATE NA ZA GROUP ZA KIINGEREZA
Kupitia whatsApp Voice Call - Bei : 99,000 - 150,000/mwezi
Haya ni masomo kupitia whatsApp ambayo ni dakika 40 kila siku jumatatu hadi ijumaa.
a. Private peke yako :
Darasa : Kuongea, kuandika, kusoma {+ Matamshi, Tenses, Vitabu}
Ada : 150,000 kwa mwezi
level : Beginner, Intermediate, Advanced
Time : 40 minutes - chagua muda kuanzia saa 1 asubuhi - 4 usiku
Njia : Whatsapp Audio Call
b. Private maongezi tu : (kama hauna haja ya kuandika)
Darasa : Kuongea tu {Pia, matamshi, Tenses}
Ada : 99,000 kwa mwezi
level : Intermediate, Advanced
Time : 40 minutes - chagua muda kuanzia saa 1 asubuhi - 4 usiku
Njia : Whatsapp Audio Call
NB : Kabla hujaanza, mwalimu atakufanyia interview kujua level yako ya kiingereza ili ajue anaaza wapi.
Muda wa kozi ni miezi 3 kwa mtu ambae anajua kiasi na anatafuta kuboresha kiingereza chake, ila inachukua miezi 5 hadi 6 kwa mtu anaeanza mwanzo kabisa.
Kupitia zoom video call - Bei 230,000/mwezi
Haya ni masomo kupitia video call ambayo ni dakika 40 kila siku jumatatu hadi ijumaa.
a. Private peke yako :
Darasa : Kuongea, kuandika, kusoma {+ Matamshi, Tenses, Vitabu}
Ada : 230,000 kwa mwezi
level : Beginner, Intermediate, Advanced
Time : 40 minutes - chagua muda kuanzia saa 1 asubuhi - 4 usiku
Njia : Zoom / Google Meet Video call
NB : Kabla hujaanza, mwalimu atakufanyia interview kujua level yako ya kiingereza ili ajue anaaza wapi.
Muda wa kozi ni miezi 3 kwa mtu ambae anajua kiasi na anatafuta kuboresha kiingereza chake, ila inachukua miezi 5 hadi 6 kwa mtu anaeanza mwanzo kabisa.
Download pia App yetu ya simu playstore
Download App yetu playstore : Easy English tz
Utakachopata :
Video za masomo bure kwa wiki ya kwanza
Jipime uwezo wa kiingereza
masomo ya vocabulary 20 kila siku
kutafsiri maneno na sentensi
Ada : 10,000/mwaka
Pia unaweza kuungwa group letu la whatsapp kwa 50,000 tu kwa mwezi.
Kama wewe ni mfanyakazi, mzazi au mfanya-biashara usiopenda kuungwa magroup, ila unataka kujifunza na kufanya mazoezi ya kuongea Kiingereza online ili ujenge kujiamini katika kuongea kiingereza na watu, hii ni kwa ajili yako.
kama unataka kuanza leo, bonyeza kwenye hatua za kujiunga.
Tunafanya kazi Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 09:00 - 17:00. Jumamosi na jumapili hatufungui, tuma text whatsapp kwa namba +255686768181 kutupata.
NB: Tunafundisha kwa njia ya ONLINE tu.