Dawa za mitishamba ni zile zilizo na viambato amilifu vilivyotengenezwa kutoka kwa sehemu za mimea, kama vile majani, mizizi, magome au maua. Lakini kuwa "Asili" haimaanishi kuwa ziko salama kwako hivyo unatakiwa kufuata ushauri wa dactari wako ili kufahamu matumizi yake vizuri ukifuata utaratibu huo itakuwa salama.