We help people to know Everything they need so that they can run Facebook and Instagram Ads and we solve all problem associated to Ads.
We help people to know Everything they need so that they can run Facebook and Instagram Ads and we solve all problem associated to Ads.
Hapa tutakusaidia kurekebisha account yako kwenye changamoto mbalimbali mfano;
1: Kushindwa kufanya malipo.
2: Account kua disabled, (Restricted Account)
3: Account kua compromised,
4: Kushindwa kuingia kwenye account yako au kupata changamoto zozote kwenye kufanya matangazo
Hi ni programu maalumu,
Ndani ya programu hi utapata usaidizi wa namna kukuza biashara yako kwenye mitandao ya kijamii,
Utajifunza kila kitu kuhusu namna ya kufanya biashara yako kwenye mitandao ya kijamii.
Pamoja na hayo, utapatiwa usaidizi wa karibu wa miezi mitatu pamoja na kurekebishiwa account za matangazo zenye changamoto.
1: Utangulizi kuhusu Sponsored ads.
2: Namna Ya Kufanya Matangazo Ya Kulipia Yenye Kuuza.
3: Je Matangazo Haya Yataonekana Wapi. (Placement)
4: Namna Ya Kufanya Matangazo Ya Kulipia Yaonekane FB na IG Kupitia Simu Yako.
$17= Ni ada ya program, bajeti ya tangazo na kua litakaa siku ngapi utajifunza kwenye program.
Wewe ni Mjasiriamali na unapata changamoto kunasa wateja mtandaoni?
Labda nianze kwa kukwambia kua BIASHARA NI MATANGAZO..
Unafahamu kuhusu matangazo ya kulipia ya Instagram (sponsored ads)?
Unaweza kuwafikia wateja wako lengwa kwa idadi utakayo mwenyewe haijalishi unauza bidhaa au unatoa huduma.
Hakuna Kitu Hakiuziki Kwenye Sponsored ads.. đŸ˜…
Wanaofanya haya matangazo wanaelewa, wewe pia unasababu ya kuanza haya matangazo mara moja.
Program Hii ni Mathubutu Kabisa Kwa Ajili Yako
-Hapa tunahusika na kufuta madeni unayodaiwa kutokana na mkopo uliouchukua wakati wa ku-promote matangazo.
-Tunafuta madeni makubwa kuanzia $100
-Baada ya kufutiwa deni lako utapata usaidizi wa kutatua changamoto zote zinazohusiana na account yako wakati wa ku-promote matangazo ya biashara yako.