Mafunzo yetu yanahusisha mambo yafuatayo:
Kuwa wakili mwaminifu
Misamiati
Zoezi (mfano)
Kujitolea (mfano)
LUKA 14:28-29
kuketi na Kuhesabu gharama
Misamiati
Login - Ingia
Home Page - Ukurasa wa kwanza (Nyumbani)
Expense Terms - Maelezo juu ya matumizi ya fedha/gharama
Project - Mradi
Account - Akaunti
Expense Details - Taarifa za matumizi
Vendor - Mchuuzi/muuzaji
Adding Income - Maelezo ya gharama
Income Details - Kuongeza mapato
Source Type - Maelezo ya mapato
Source of Income - Aina ya chanzo cha mapato
Tax - Kodi
Foreign Currency - Fedha za kigeni
Listing & Editing Records - Kuorodheza na kuhariri ripoti
Reports - Ripoti
Build Report - kutengeneza ripoti
Budget - Bajeti
Travel Record - Rekodi ya kusafiri