Ukurusa wa Wavuti wa Kuingia Mara Moja kwa Wanafunzi Wote ili Kufikia Programu na Tovuti za Masomo. Ukurasa wa Clever unafunguka kiotomatiki wanafunzi wanapokwenda kwenye Google Chrome kwenye Chromebook au iPad yao.
Nenda kwenye https://clever.com/in/worcester
Bofya "Log in with Google" (“Ingia ukitumia Google”)
Andika jina la mtumiaji na nenosiri la mwanafunzi (tafadhali wasiliana na mwalimu ikiwa hauna uhakika) AU ikiwa mwanafunzi wako ana beji ya Clever (Pre-K - 3) bofya "Clever badge log in" (tafadhali wasiliana na mwalimu ikiwa hauna uhakika)
Tafadhali kumbuka: Lazima uwe umeingia kwenye Kivinjari cha Google ukitumia akaunti yako ya shule. Ikiwa haujui jinsi ya kufanya hivi, bofya hapa
Fungua programu ya Clever
Changanua baji ya kuingia (daraja za Pre-K - 3)
AU
Bofya "Log in with username/password" (“Ingia ukitumia jina la mtumiaji/nenosiri”)
Tafuta shule
Ingia ukitumia Google (andika jina la mtumiaji na nenosiri- wasiliana na mwalimu ikiwa hauna uhakika)