Kuna njia nyingi kwa ajili ya mwanadamu kupata mwongozo na kuibuka kutoka kwenye giza na kuelekea kwenye nuru. Kwa ajili ya ustawi wa mwanadamu na ukamilifu wa maadili yake, Mwenyezi Mungu ameumba uthibitisho, ushahidi na dalili1, katika idadi kubwa kiasi kwamba ziko nje ya uwezo wa kuhesabiwa na kukokotolewa. Kwa ajili ya mwongozo wa mwanadamu alituma mitume na dalili zilizo wazi,2 vitabu, miujiza na ishara ili pengine watu wanaweza kuitambua njia iliyonyooka na kupata ustawi na mafanikio.

Kadiri suala la kuhusisha kisa na mada mahususi linavyohusika, sisemi kwamba visa vinavyodokeza kwenye mada moja tu au ile mahususi ambayo imetajwa hapa; bali ni visa ambavyo vinaweza kuhusishwa na mada nyingine pia, kwa nyongeza kwenye mada ambayo chini yake imeta- jwa hapa.


Visa Vya Mitume Video Download


Download 🔥 https://urloso.com/2y4Cis 🔥



Ili kuzuia msomaji asipatwe na uchovu na uchoshi, na kwa ajili ya sababu mbali mbali, nimeacha kuwasilisha visa vya kukinaisha, kama vile za wanafalsafa na washairi, lakini nimejitahidi kufanya mkusanyiko uwe tofauti tofauti. Kwa njia hii nataraji wasomaji watafurahia zaidi masimulizi haya.

Inatarajiwa kutoka kwa wasomaji kwamba, baada ya kuvipitia visa na simulizi hizi, watatafakari na kuchukua mazingatio ili waweze kujijengea nguvu za kwenda katika ukamilifu wa madili, na Allah swt. akipenda wale waliojaaliwa maadili yenye kusifika wawasimulie wengine, kwa ajili ya kuzirekebisha roho dhaifu zaidi. e24fc04721

t.i jesus loves me mp3 download

download microsoft todo app

download lagu hey kau jadikanlah dirimu seperti yang kau mau

gym bro motivation alarm download

90s country music download mp3